msaada: wine zinazosaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa

msaada: wine zinazosaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa

maranatha

Member
Joined
Feb 14, 2012
Posts
58
Reaction score
11
Salamu wakuu Nimesikia kuna aina fulanifulani za wine zinasaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake. Mnaweza kunitajia
 
White wine. Na banana wine japo zinaleta mkojo mara kwa mara.
 
zanzi wanaikubali sana,. Labda ukajaribu hiyo
 
Wine naweza kusema huwa naitumia sometimes. Wine zinakufanya ulegee sana. Kama mnywaji wa wine kwa wingi hauwezi furahia se.x mwili unalegea sana. Ujue kuwa formula ya wine ni moja haijalishi ni red. or white
Kumbe wewe mzoefu sana tu........nadhani muuliza swali kapata jibu sasa.
 
tumia vitu natural nunua pweza wako safisha vizuri na uchemshe na limau,chumvi kidogo then u will see... don't try kama uko alone
 
ZANZI NA SANT ANNA ndo zinasumbua saana pia AMARULA kidogo!!
 
Back
Top Bottom