msaada: wine zinazosaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa

Mi nataka mniambie lakini zile tamu bhana zinazotoa burudani maana hii dompo kali ati wanasema!!
 
Salamu wakuu Nimesikia kuna aina fulanifulani za wine zinasaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake. Mnaweza kunitajia

Kuna dawa fulani sikumbuki jina ya kihaya, unakunywa iko kama chai chai, unakunywa, baada ya nusu saa utasikia hamu kupita kiasi, na kama ni mwanamke utasikia hadi huko chini kunavyotekenya na hali ya joto inazidi kuwa kubwa, kiasi jamaa akitaka kula sakalamenti takatifu anaenjoy sana maana panakuwa na hali ya joto sana.Kama una rafiki Muhaya muulize atakusaidia.
 
Wakubwa mnafaidi sana khaa...!!! kumbe kuna hadi temprecha reguleta za nyanda za chini kusini!!!??
 
Pombe yoyote ikiingia kichwani 'uzuuri' inaongeza libido (hamu ya ngono). Ndio maana ma'changu' wengi wanasubiria baa!

NB: Kuongeza libido sio lazima kuongeza sexual performance!
 
dokta nimekumiss. maelezo yashajitosheleza hapa.
 
Wakubwa mnafaidi sana khaa...!!! kumbe kuna hadi temprecha reguleta za nyanda za chini kusini!!!??

Ni kweli kabisa watu8, ni nzuri sana , wao wanatumia kuwapa babibi harusi.
 
Back
Top Bottom