Msaada, window vista kuchelewa ku-start up

WA MAMNDENII

JF-Expert Member
Jun 5, 2010
344
57
laptop yangu window vista inachelewa ku-start up wakati ninapoi-switch on inachukua takribani dk mbili ndo on, naomba wadau mnijuze kuna tatizo au ndo window vista inavyofanya kazi ,naomba suluhisho la hilo tatizo
 
Window Vista kimeo, mimi nimeondowa nimeweka window 7. ni bora hata urudi kwenye window xp.

Exactly mkuu yaani huwa sitaki hata kuisikia hiyo Vista ni mara 1000 ukabaki na XP lakini siyo huyo mdudu, hivyo basi mkuu hapo juu nadhani fanya hima uachane na Vista kabisaaa!!!!!! Ni kimeo labda kuliko OS zote za windows za miaka ya karibuni.
 
kweli wakuu nimewasoma , ila sasa mimi sio mtaalamu wa haya mambo IT nitazipataje hizo program mfano window 7, niende google ni-downlod au zinauzwa hapa bongo madukani? msaada tafaadhali msichoke na ushamba wangu.
 
Katika OS ambayo Microsoft walichemka ni Window Vista,nashangaa kusikia kama kuna watu bado wanaitumia
 
Shida inaweza kuwa ni compatibility kati ya lap top yako na operating system yenyewe. Mara nyingi vista inakuwa na mgogoro sana hasa kwa kukataa kupokea baadhi ya programs. Waweza kuondoa na kujaribu Windows 7 na ikishindikana rudi kwenye traditional windows Xp professional hiyo inapokea kila program aalmost!
 
mkuu wa mandenii naomba lift kwenye thread yako....

wakuu mie nina HP Mini ambaayo ina windows 7 starter, ina mawazo mno kwenye start up , huwa inanichukua hadi dakika tano na mara nyingine inanilazimu kui-force kuizima ili kuiwasha tena,ni mpya kiasi kwani nimeitumia kwa miezi kama nane tuu, kwa heshima naomba msaada wenu wadau.
 
Toa hiyo Os weka Fresh copy ya windows 7 nyingine then rudishia programs zako kama kawaida. Huhitaji kuformat partition ila os nyingine itaoverwrite hiyo starter. Hiyo ni kwa pc nyingi ambazo unanunua zikiwa na genuine window.
 
laptop yangu window vista inachelewa ku-start up wakati ninapoi-switch on inachukua takribani dk mbili ndo on, naomba wadau mnijuze kuna tatizo au ndo window vista inavyofanya kazi ,naomba suluhisho la hilo tatizo
windows vista ni nzito flan lakini unaweza tumia software kama CCLEANER kufix registry zako na pia kufree up hard drive na unnecessary filles, pia fanya defragmentation ya hard drive yako itasaidia kuspeed up your machine. kingine punguza auto start application katika mashine yako. Ukiona inakuzingua zaidi nicheki 0655-003510 am a computer expert na msaada wangu ni malipo kidogo tu! ila fanya hayo niliyokwambia hapo juu
 
<br />
<br />
mkuu hapo umenena hata mie nilishapatwa na tatizo kama hilo,cha maana mdau afuate hizo procedure ulizompa kabla ya kukimbilia ku change windows.
 
windows vista ni nzito flan lakini unaweza tumia software kama CCLEANER kufix registry zako na pia kufree up hard drive na unnecessary filles, pia fanya defragmentation ya hard drive yako itasaidia kuspeed up your machine. kingine punguza auto start application katika mashine yako. Ukiona inakuzingua zaidi nicheki 0655-003510 am a computer expert na msaada wangu ni malipo kidogo tu! ila fanya hayo niliyokwambia hapo juu

mkuu ngoja nijaribu maelekezo yako nikwama ntakucheki hewani
 
chek hii blog Tz downloads tafuta upande wa pc software moja inaitwa kingston pc doctor download instal itakupa option ya program ambazo hazi takiwi kuanza na mambo mengi kwenye hiyo blog wame eleza vizuri .personal natumia hiyo kitu mashine imekuwa na performance nzuri sana ina boot fasta na inakuonesha muda iliyo tumia ku boot kama kuna kitu ina zui isiboot inaku ambia optimize .then mambo yana kua poa
 
Win vista ni one of the microsoft failures, it is always slow when booting inavitu kibao inacheck before loading. Move to win7 kwa sababu ina features kama za vista ila zipo improved. Hafu kama comp yako ime support vista it can support win7
 
mkuu wa mandenii naomba lift kwenye thread yako....

wakuu mie nina HP Mini ambaayo ina windows 7 starter, ina mawazo mno kwenye start up , huwa inanichukua hadi dakika tano na mara nyingine inanilazimu kui-force kuizima ili kuiwasha tena,ni mpya kiasi kwani nimeitumia kwa miezi kama nane tuu, kwa heshima naomba msaada wenu wadau.

Jaribu hii master serial number ku-upgrade HP Mini OS
win7 starter
to pro;

74T2M-DKDBC-788W3-H689G-6P6GT

Usiformat just enter the sn

Upande wa office 2010, download trial from ms website na tafuta toolkit kukamilisha zoezi.
 
Back
Top Bottom