msaada..window failure

msaada..window failure

marion09

Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
81
Reaction score
66
wakuu habar zenu.

Kompyuta yang [laptop] inawaka then baada ya muda inazima ghafla.
Mwenye ujuz anisaidie kuondokana na tatizo hili.
Ahsanteni
 
windows gani unatumia,inawezekana ikawa ni virus, au tatizo lengine,kwa kuanzia tafuta cd ya windows uiformat.,au umpatie mtu anayeweza kukusaidia kuformat.
 
virus hiyo ndugu...scan kwa anti-virus makini. otherwise format!
 
wakuu niwashukuru kwa mawazo yenu..
Baada ya kuhangaika sana nimeobserve jambo moja kuwa fan haifany kazi na hivyo kusababisha overheat,
Ahsanteni sana.
 
wakuu habar zenu.

Kompyuta yang [laptop] inawaka then baada ya muda inazima ghafla.
Mwenye ujuz anisaidie kuondokana na tatizo hili.
Ahsanteni
Toa maelezo ya kutosha ila ueleweke.Angalia muda inaozimika baada ya kuwashwa je ni huohuo au uko tofauti.Mfano je inazimika kila baada ya dakika 10 au?Kuna message yeyote inatoa wakati inawaka na kabla ya kuzimika?Fanya hilo jaribio then let us know.Kunakitu nahisi kinasababisha ila fanya kwanza niliyokwambia then let me know.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom