Msaada: Wenye uzoefu na washing mashine

Msaada: Wenye uzoefu na washing mashine

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
16,489
Reaction score
38,389
Wakuu kuna hizi mashine ya kufulia nguo nimewahi ziona Kariakoo bei ziko around 400k mpka 500k.

Kwa waliowahi zitumia vipi ubora wake? Matumizi yake ya umeme yakoje? Naweza kununua kwa kuanzia au nijichange tu nipate mashine ya maana.

Asanteni
 
Tafuta hela mkuu,ukisha pata hela wala hutoumiza kichwa kutaka kujua issue za ulaji wa umeme.
Kuna vitu mkuu vinakula umeme balaa, chukulia mfano TV za Plasma, soko la mtumba bei rahisiii, unakuta TV Lina inch 50 ama 65 unaambiwa laki 3, ukienda kwenye ulaji umeme hadi watts 600.

Kwa nyumba zetu hizi ambazo TV zina run hadi masaa 18 watts 600 ni nyingi Sana. Hapa TV pekee inaweza kula umeme wa laki 1 kwa mwezi, ukikosea kwenye Fridge, Taa na mashine mbalimbali ndio unashangaa bili inakuja m+ unaanza kuwalalamikia Tanesco.
 
Samahani muanzisha mada juu, chief naomba uniambie kuna tofaut kati ya flat screen na plasma na kama ipo je ni ipi? Samahan muanzisha mada
lakn kwa kukuingilia
 
Samahani muanzisha mada juu, chief naomba uniambie kuna tofaut kati ya flat screen na plasma na kama ipo je ni ipi? Samahan muanzisha mada
lakn kwa kukuingilia
Hata plasma ni flat screen mkuu sema ukiangalia kwa Macho kioo chake ni kama glass kabisa ile inayoakisi mwanga, sio Sawa na hizi TV za kawaida,

Inakuwa rangi yake kama TV za zamani za chogo rangi ya kijivu na sio cheusi kama TV za sasa,
images

Hii tech walishaachana nayo hivyo ngumu kukuta TV mpya wanayo ila kwenye mtumba zipo za kutosha.
 
Back
Top Bottom