Habari zenu samahani naomba mwenye kufahamu short courses za veta ambazo haziwezi kuchukua muda mrefu kujifunza (course isizidi miezi sita) ambayo unaweza kujiajiri au kuajiriwa anisaidie
Pili Kwa wenye uzoefu wa french language kama Bado inatija kwenye swala la ajira na exposure
Natanguliza shukrani
Pili Kwa wenye uzoefu wa french language kama Bado inatija kwenye swala la ajira na exposure
Natanguliza shukrani