Msaada wenu.

hood rasta

New Member
Oct 11, 2012
2
0
Natumia line ya waridi kwenye cm yangu nipo uganda na nimechoka na kununua bandlez kila cku mwenye maujanja ya kuhaki internet anisaidie,na2mia nokia c2.
 
kuna maswali mawili ntakuuliza
1. Je kuna website yoyote ambayo unaingia bure ambayo hailipiwi?

2. Je ukiwa na sh 0 line yako inaconect na internet?
 
Website ninayoweza kuingia net ni 0.fb na ni kwa ku2mia line ya MTN bt kwenye Warid hakuna.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom