Baby Nimah
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 758
- 911
- Thread starter
-
- #81
unasema huna hata hela ya kula na bado hujapata ina maana hadi sasa masaa 24 hujala kitu ila upo busy unachat humu. nenda hata kwa jirani uombe kula usitufie ndugu yetu
njoo pmNinashida zaid ya hela ya kula mkuu
njoo pm
Huku utaambulia ushauri ukihitaji msaada wa kifedha
huenda unakoseaUmefunga mkuu pm yako
Ujue ww ni mwehu nilikua sitaki kucomment umenifanya nicheke[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya endelea kuomba. Aombae hupewa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ujue ww ni mwehu nilikua sitaki kucomment umenifanya nicheke
Mwenyewe nahitaji kuchangiwa [emoji134][emoji134][emoji134] sijui hata nianzie wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi wewe ushatoa mchango?
Ujue ww ni mwehu nilikua sitaki kucomment umenifanya nicheke
Basi tusubiri mrejesho, akichangiwa nasi tufungue uzi.Mwenyewe nahitaji kuchangiwa [emoji134][emoji134][emoji134] sijui hata nianzie wapi
Ulishaanza kuahidiwa toka Jana buku5 tu hujapata, usikate tamaa vumilia tu ahadiHapana mkuu wapo wenye moyo wakutoa tatizo wengi ni waoga nahisi nitapeli
Eeeenh huku jf kujichoresha tu hivi katika marafiki zako kweli umekosa hata mmoja tu wa kukupa hiyo elf 5[emoji23] jamani kumbe hata ww shunie ulikuwa unauchora tuu uzi wangu
Atachingiwa tu si unaona mwanzo aliomba elf 2 akachangiwaBasi tusubiri mrejesho, akichangiwa nasi tufungue uzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atachingiwa tu si unaona mwanzo aliomba elf 2 akachangiwa
Hahahaha kila siku dau linapanda hivi tala, branch tigo nivushe zote hizi unashindwa kukopa uko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamestuka kuona dau limepanda, wameona next time itakuwa 15k.
Itabidi nami unifundishe jinsi ya kukopa huko tala na branch sijui.Hahahaha kila siku dau linapanda hivi tala, branch tigo nivushe zote hizi unashindwa kukopa uko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Auntie nimecheka mm nikikwama hao ndio wakombozi wanguItabidi nami unifundishe jinsi ya kukopa huko tala na branch sijui.
Ulipata musaada?. Au bado unauhitaj?[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]