Msaada wenu...


Asnte kwa ushaur mkuu

Siwezi tumia tala na branch hii simu nilinunua kwa mtu alishawahi kuitumia

salary advance siifahamu

M-pawa situmii voda
Tigo ni vushe sina line tigo
Natumia airtel baso sna uwezo wakutmi timiza

Huku nilipo huwez jua kilicho nikuta

Kuliea jicho ni uamuz wa mtu mwenye asiye jielewa shida yangu ni msaada sio vinginevyo

Asnte kwa maoni yako
 
Duuuh! Mmenisusia?

Basi kama imeshindika 5k naombeni mniwezeshe hata vocha ya airtel ya 500 or buku [emoji120][emoji120]0692 577 653 nimeona bora niweke tuu namba hapa
Wacha bwana!
 
Ndo hivyo kudanga siwezi kuiba si wezi nikiiba wataanza sema msichana mwenye mrembo tuu mdogo kweli anaiba si angeomba tuu ningempa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya endelea kuomba. Aombae hupewa.
 
unasema huna hata hela ya kula na bado hujapata ina maana hadi sasa masaa 24 hujala kitu ila upo busy unachat humu. nenda hata kwa jirani uombe kula usitufie ndugu yetu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…