Msaada wenu...

Leta hiyo namba chap
 
Embu kuja pm tumalize hiyo kesi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Keshokutwa utapandisha dau tena. Basi sawa.
 
njoo
 
Wewe ni baby kweli au ni bibi bomba..
Tujue kwanza
 
Wakuu nipo serious bado sijapata msaada wowote nimetoa namba pm lakin sijapata msaada πŸ˜₯πŸ˜₯
 
Sasa jamani mkuu ubibi na ubaby unausiana nn na shida yangu??[emoji26][emoji26]

Nina 21 umefurahi
Sijafurahi kabisa mtoto mdogo hivyo unalia shida humu mtandaoni wakati umri huo bado uko kwa wazazi
 
Wakuu nipo serious bado sijapata msaada wowote nimetoa namba pm lakin sijapata msaada [emoji26][emoji26]
Mbona kuna njia nying 2 za kupata hiyo pesa bila kuja kusumbuana humu....
1.Tala
2.Branch
3.salary advance
4.Tigo nivushe
5.M-pawa
Inamaana zote hizo zimefeli....
Na huko mkoa ulkoenda huna mwenyeji had upate tabu zote hizo!!!?
Jifunze kubet pia itakusaidia,la sivyo utaliwa jicho binti. .

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…