Msaada wenu wana jf

Msaada wenu wana jf

GANG MO

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
2,123
Reaction score
2,270
Nipo iringa na Nina Tsh.350,000 na ninataka kuagiza simu dar. Smartphone yenye prosessor nzur, internal memory yenye uwezo mzuri na camera nzuri. Naombeni ushauri. Aina Ipi ni nzuri kutokana na pesa nliyonayo? Nisaidieni ndugu zangu
 
.
 
Kuna mdau anauzaga simu Yuko huku nahisi Yuko zenji au kariako usije enda uziwa techno m3 kwa hio bei
 
mjumbe wa bwana
mimi sihitaji tecno. Iwe simu aina nyingne
 
Back
Top Bottom