Msaada wenu wakuu natafuta chuo cha autoelectrical

LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,123
9,168
Wana jf msaada wenu jaman.Natafuta chuo cha kusoma katika fan ya autoelectrical na hasa wawe wanafundisha huu mfumo mpya wa electronics na ikiwezekana kama wanafundisha na jinsi ya kutumia computer.

Mim ninachohitaji zaidi ni practical sana na cyo porojo nyingi zisizokuwa na msingi kwani mim nahitaji zaidi kujiajiri na cyo kuajiliwa hivyo cfa au chuo fulani ndiyo kina jina sana kwenye kuajiliwa hilo mim kwangu silihitaji.

Naomba xana msaada wenu mkuu au kama kuna mtu anaweza kunisaidia kwa njia 1 au nyingine ili niweze kupata contanct za vyuo vinavyotoa mafunzo hayo nitashukuru xana.

Naomba sana msaada wenu wana jf
 
Back
Top Bottom