Hahahahaha, mpe helaHivi mwanamke mpenzi wako ambaye bado ujawai kukutana naye kimapenzi anapokuandikia SMS kama hiyo hapo chini ya mwisho kabisa anakua anamaanisha nini !?
Kwa wenye uzoefu naombeni ufafanuzi zaidi...View attachment 990760
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaahaaa kwamba waanze shule kwanzaWote jifunzeni kuandika kwanza kabla hamjapeana hilo penzi la sivyo mtawapa tabu watoto wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante kwa kweli inabidi nijiongeze nijitoe mapema tuHuyu mpenzi wako ni muuzaji kama wauzaji wengine.Hana mapenzi na wewe, yupo kimaslahi zaidi mark my words brother.Bado hujapata mpenzi, huyo ni muuza mwili.
Mkuu unahangaika kusukuma ukuta!ushauli=Ushauri
ulioitajika=Uliohitajika
Acha ubishi,jifunze kufuata misamiati na silabi za kiswahili kwa ufasaha!
Sent using Jamii Forums mobile app

Angekupa tatizo mkila mnakimbia wazee bora utoe pesa hio mmalizaneSasa kama aniuzii kwa nini asinipe kisha akaniambia nina shida fulani na mimi nikamsaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mnakula papuchi hlf mnasepa, Bora ulipie KwanzaNyie wadada mnaotuomba hela kabla ya kutugea papuchi hamna mapenzi ya kweli, tukiwaoa mnaweza hata kutuwekea sumu kwenye chakula, kutuzalia watoto ambao sio wetu, au kutukimbia tukishaanza kuishiwa hela.. demi
Nyie mnakula papuchi hlf mnasepa, Bora ulipie Kwanza
Tatizo ni kwamba hakuna anayemuamini mwenzake, mwanamke anajisi atachezewa bure na mwanaume vile vile, kumpata mwenza sahihi ni bahati nasibuHahaa ww mwongo, hiyo sio sababu, mbona wanaume mnaowapenda hamuwafanyiagi huo uhuni, hlf sometimes kwa mentality hiyo ya kusema ailipie papuchi coz atakuja kukuacha, unaweza ukajifukuzia mwanaume wa maana
Hata nkila papuchi hlf nikasepa, raha c tuliipata wote demi