Msaada wenu wakubwa

Msaada wenu wakubwa

Kwanza nyie hamjui kuandika

Pili hujui kuchati romantiki, unachati vp na mpenzi wako unaandika herufi kubwa Kama maombi ya kazi ?

Tatu huwa hatuombi hivo direct Kama unaomba mahindi, mapenzi Ni hisia, mnaweza meet sehem mkanywa mkala then automatically mkajikuta mmesex

Kwa kifupi Dem hakufeel, unammboa, ndo maaana anakujibu shit ili ubadili msimamo umpotezeee!

Kimbia mkuu kabla hujaumia zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaonea huruma sana vijana msiooa alafu mnachagua wenza kwa njia mbovu mbovu.

Kama huyu hapo ni mwanamke au changudoaaaa kabisa?

Nikajua anasema hatoi mwili mpaka aolewe,tungejua kwamba anathamini ndoa zaidi ya mwili wake.

Eti anasema hatoi mwili mpaka ugharamikiwe,kwa maana anathamini pesa kuliko mwili ndyo maana aksema ukimgharamia atakupa mwili wake.huyo jiulize kwamba ana wangapi ambao anawaambia hivyo?

Alafu ukute na wewe ndo umependa kizembe zembe tuu,unapendajee kwenye mnung'aze kama huo kwa mfano?

Ndo mana watu tumeoa zetu tumetulia tunawacheki mnaokuja kulalamika lalamika hapa.

Yaani huyo demu atamchuna mpaka awe mwekundu kama mdomo wa nguruwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza nyie hamjui kuandika

Pili hujui kuchati romantiki, unachati vp na mpenzi wako unaandika herufi kubwa Kama maombi ya kazi ?

Tatu huwa hatuombi hivo direct Kama unaomba mahindi, mapenzi Ni hisia, mnaweza meet sehem mkanywa mkala then automatically mkajikuta mmesex

Kwa kifupi Dem hakufeel, unammboa, ndo maaana anakujibu shit ili ubadili msimamo umpotezeee!

Kimbia mkuu kabla hujaumia zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah Nimekuelewa sana Aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaonea huruma sana vijana msiooa alafu mnachagua wenza kwa njia mbovu mbovu.

Kama huyu hapo ni mwanamke au changudoaaaa kabisa?

Nikajua anasema hatoi mwili mpaka aolewe,tungejua kwamba anathamini ndoa zaidi ya mwili wake.

Eti anasema hatoi mwili mpaka ugharamikiwe,kwa maana anathamini pesa kuliko mwili ndyo maana aksema ukimgharamia atakupa mwili wake.huyo jiulize kwamba ana wangapi ambao anawaambia hivyo?

Alafu ukute na wewe ndo umependa kizembe zembe tuu,unapendajee kwenye mnung'aze kama huo kwa mfano?

Ndo mana watu tumeoa zetu tumetulia tunawacheki mnaokuja kulalamika lalamika hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah kweli kabisa mpaka nikataka kumuhuliza kwa iyo mwanaume akikuudumia tu wewe unampa mwili wako sema nimeogopa kutukanwa

But nimekuelewa sana shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mwanamke mpenzi wako ambaye bado ujawai kukutana naye kimapenzi anapokuandikia SMS kama hiyo hapo chini ya mwisho kabisa anakua anamaanisha nini !?

Kwa wenye uzoefu naombeni ufafanuzi zaidi...View attachment 990760

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio lahisi unabidi ugalamie, NB:Jifunzeni kwanza kutumia kiswahili kwa ufasaha, na ushauri wangu nyie wote mnaonekana ni watoto
 
Hapo hawezi kuja kama anajua anaendea kufanywa...

Siku nyingine muite kawaida akija ndiyo fanyeni yenu...

Cc: mahondaw
 
Mimi nilimuuliza Vestina.

"Kwahiyo shilingi ngapi?"

Akajibu "20,000"

Nikamuuliza "Kiasi hicho utanipa nini na nini?"

Akaniuliza "We unataka nini?"

Nikamuuliza "Ndo hutaki kuniambia hiko kiasi nitapata nini na nini?"

Akajibu "Tutajua huko huko"

Nikamwambia "Kwamba nikuahidi kukupa pesa huku haunipi ahadi ya nitapata nini? Hivi haya maisha bado yapo?"

Akaniambia "Nitakupa kila unachotaka, tutalala usiku mzima"

Nikajibu "Yaani 20,000 ili tu unipe ninachotaka halafu usiku mzima!? Kama siku mbili mfululizo mi nakupa 15"

Akauliza "Mbona unaongea kama unanunua?"

Nikajibu kwa mtindo wa swali "Kwani si ni wewe ndiye uliyetaka upewe hela kwanza?"

Akasema "Mi ni mpenzi wako unanihudumia"

Nikasema "Na mi ni mpenzi wako pia nihudumie"

Mtu akihama akaanza kukuuzia na wewe nunua braza.
 
Hizo msg zako umejiandikia na kujijibu mwenyewe. Uandishi wako wa vidudu umekuchoma.

Acha utoto jifunze kuandika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom