Msaada wenu wakubwa

Msaada wenu wakubwa

L na R ni tatizooo sasa sijui Pesaa ya kugharamiaa hiyo nyapuuu utatoa wapii....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu awajui kusoma na kuandika ila wana pesa chafu mbaya kaa mbali wewe elimu na pesa ni vitu viwili tofauti labda wewe unategemea pato la mshahara tu ulipoajiliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilimuuliza Vestina.

"Kwahiyo shilingi ngapi?"

Akajibu "20,000"

Nikamuuliza "Kiasi hicho utanipa nini na nini?"

Akaniuliza "We unataka nini?"

Nikamuuliza "Ndo hutaki kuniambia hiko kiasi nitapata nini na nini?"

Akajibu "Tutajua huko huko"

Nikamwambia "Kwamba nikuahidi kukupa pesa huku haunipi ahadi ya nitapata nini? Hivi haya maisha bado yapo?"

Akaniambia "Nitakupa kila unachotaka, tutalala usiku mzima"

Nikajibu "Yaani 20,000 ili tu unipe ninachotaka halafu usiku mzima!? Kama siku mbili mfululizo mi nakupa 15"

Akauliza "Mbona unaongea kama unanunua?"

Nikajibu kwa mtindo wa swali "Kwani si ni wewe ndiye uliyetaka upewe hela kwanza?"

Akasema "Mi ni mpenzi wako unanihudumia"

Nikasema "Na mi ni mpenzi wako pia nihudumie"

Mtu akihama akaanza kukuuzia na wewe nunua braza.
hahahahahaha Hatari sana Aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom