Kijana kijana
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 2,546
- 2,624
Huyu mpenzi wako ni muuzaji kama wauzaji wengine.Hana mapenzi na wewe, yupo kimaslahi zaidi mark my words brother.Bado hujapata mpenzi, huyo ni muuza mwili.Hivi mwanamke mpenzi wako ambaye bado ujawai kukutana naye kimapenzi anapokuandikia SMS kama hiyo hapo chini ya mwisho kabisa anakua anamaanisha nini !?
Kwa wenye uzoefu naombeni ufafanuzi zaidi...View attachment 990760
Sent using Jamii Forums mobile app
ushauli=Ushauri
ulioitajika=Uliohitajika
Acha ubishi,jifunze kufuata misamiati na silabi za kiswahili kwa ufasaha!
Sent using Jamii Forums mobile app
Apo wote mmekutana Micharo...ata they way mnavochat...Alafu kanaambiwa kanakuwa kabishi
Yani kama matoto cjui...ata they way anavyoomba hyo sex co romantic kbsaaa😂 😂sasa hata kuandika hamjui ...mnataka kupeana kitu gani?? wewe ni Jinga kabisa
Hapo sasa nimeona. Huyo demu kumbe anataka ulipie papuchiNdiyo ivyo nimemwambia mwenyewe anifafanulie amenifafanilia ivyoView attachment 990939
Sent using Jamii Forums mobile app






Muuzaji tu, hana tofauti na wale wa KIMBOKANdiyo ivyo nimemwambia mwenyewe anifafanulie amenifafanilia ivyoView attachment 990939
Sent using Jamii Forums mobile app
Hauzi wala hatoi bure
Hivi mwanamke mpenzi wako ambaye bado ujawai kukutana naye kimapenzi anapokuandikia SMS kama hiyo hapo chini ya mwisho kabisa anakua anamaanisha nini !? Kila mwdnye uwezo wa kumgharamia atapewaa tutu
Kwa wenye uzoefu naombeni ufafanuzi zaidi...View attachment 990760
Sent using Jamii Forums mobile app
Hlf iwe imekosewa kosewa kama hiyo ya mtoa mada. Unaweza kufuta bila kusoma na ukisoma unaweza kupotezea.Sipendi mtu aniandikie sms kwa herufi kubwa utafikiri anatoa msisitizo
Sent using Jamii Forums mobile app