msaada wenu wadau

msaada wenu wadau

MUGASHA THE HERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2016
Posts
327
Reaction score
205
hivi naweza kuinstal whatsap kwenye pc bila kutumia blue stack? kwayeyot anayejua anisaidie. karibuni wadau kwa michango yenu
 
Fungua browser andika WhatsApp Web , kisha fungua WhatsApp kwenye simu yako kuna menu option ya WhatsApp web, scan qr code, voila... Ushamaliza hitaji lako arif...
 
Back
Top Bottom