Mkuu umenipa mwanga lakini naomba nikulize swali inamaana nchi kama Uganda,Kenya and S.Africa wenye property right and private property ambayo inatenganisha collective ownership hawezi pata maendeleo. Je kama hiyo sheria inaongelea public land ownership au private and communal land ownershi?
It seems Tz you are still under Ujamaa village land ordinance even though I read some article written by Shivji on land law reforms but I think this didnt matter.
Je ikitokea kuwa huyu mtu ameweka rehani ardhi hiyo Benki so as to secure a loan serikali italipa hiyo loan pamoja na kumpa fidia huyo mtu?