msaada wenu wa dhati wanajamvi

Asango

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
234
Reaction score
25
Natumia sumsung galaxy Ace, inafungua internet kwa kasi lakini tatizo nikiingia facebook inagoma kuupload picture pia hata nikitaka kudownload inagoma.naomba mnisaidi jinsi ya kutatua hili tatizo.natanguliza shukrani wadau.
 
Download app ya facebook playstore tumia hio badala ya opera
 
inanigomea naomba maelekezo ya kina zaidi
 
Inagoma kudownload application au umeidownload then umeingia fb ndio inagoma kudownload and upload

inagoma kwenye kudownload km vp unipe link hapa niingie moja kwa moja,maana nimekuta option nyingi kila ninayojaribu holla
 
Kwenye simu yako kuna app inaitwa playstore bonyeza menu iangalie open then search neno facebookl
 

Pole kamanda voda ni wazuri sana kwenye download speed ila huwa wanasumbua kwenye upload sio kwa simu tu bali hata sie wa pC hivyo hivyo, tigo pekee ndiyo naona wapo balanced kwenye upload na download speed
 
Natumia sumsung galaxy Ace, inafungua internet kwa kasi lakini tatizo nikiingia facebook inagoma kuupload picture pia hata nikitaka kudownload inagoma.naomba mnisaidi jinsi ya kutatua hili tatizo.natanguliza shukrani wadau.

downloads UC BROWSER. Kila kitu kitakuwa sawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…