Msaada wenu unahitajika wanaJF

Tafuta speech therapist atakusaidia. Kama hakuna speech therapist, mmbadilishie lugha ongea nae English huyu wa kike.

Wa kiume muone paediatrician haraka. Ni daktari wa watoto.
 
Sky Eclat- ahsante sana kwa msaada wako,
kwa huyu wa kike inawezekana kumbadilishia lugha Kama ulivyoshauri

Kwa upande wa huyu wa kiume kwa Paediatrician nadhani hadi Dsm
Kwa huku Tarime sidhani coz huduma za Afya kwa hawa ma-specialists bado
MPELEKE HOSPITALI YA MKOA UKIONA HAWAELEWEKI OMBA RUFAA KWENDA BUGANDO kwakua Ni karibu,au MUHIMBILI KWA UHAKIKA ZAIDI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom