Chemiker
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 506
- 108
Wasalaam ndugu,
Umemuaga Mkeo unakwenda safarini Morogoro, mkeo akasikitika sana na hata machozi yakaanza kumtoka ukapata kazi ya kumfuta. Ukiwa njiani unapata simu kutoka kwa Boss wako kwamba safari imeahirishwa huku akikutaka radhi kwa usumbufu uliotokea.
Unaamua kurudi nyumbani haraka ukiamini kuwa mkeo atakuwa amekumiss ukizingatia kuwa ndoa yako bado ni mbichi sana na ulipokuwa unatoka nyumbani alikuwa anatokwa na machozi!Ukiwa mlangoni mwa sebule, hamadi! Unamuona mkeo akiwa anatoka kwa jirani yako wa kiume akiwa na khanga moja kwenye maziwa ndani hajavaa kitu hata bikini ya kuzugia huku akionekana kachoka(maana Nywele zake zimevurugika na kajasho chembamba kikimtoka isivyo kawaida yake).
Unajaribu kumsogelea unagundua maandishi ya khanga (ambayo hujawahi kumuona ameivaa) yakisomeka Kuliko kioze bora nimpe Jirani. Je, ungekuwa wewe mume ungefanya nini?