Nisaidie namba yako
Kuna uwezekano IT wenu (Admin) hapo ofisini ndio amefanya hicho kitu, zenith Technology ndio imepewa ruhusa zote na wewe umenyimwa baadhi ya permission.Ni ya oficn mkuu siyo yangu
Jaribu kurestore kabla huja activate hio pc inaweza kusolveHii imetokea baada ya kuactivate window ,
Format ila kisheria alipaswa ku handle vitu vyote vya ofisiAdmin aliacha kazi kitambo
Vizuri mkuuNimefanikiwa bila format yoyote
Umetumiaa nn?Nimefanikiwa bila format yoyote