Msaada wenu tena nipo njia panda

Mambo ya kuwasiliana kila saa huo ni utoto. Cha muhimu tu muwe mnapata angalau muda wa kukaa pamoja kuzungumza mambo yenu ila hilo la kutaka kuwasiliana kila sasa sio jambo la msingi hasa ukizingatia ni mtu aliyeajiriwa hivyo muda mwingi anakuwa mametingwa.

Kama unamfeel we mwachie zaga tu ajilie
 
Ukimya huo ina maana hata hapo mchana ukimtumia sms hajibu? Inategemea na kazi yake

ingawa kikawaida mkishaongea asubuhi basi mchana hata msipoongea tuma sms ataijibu wakati akienda kula au haja huo ndo mda wa kujibu kwa wale ambao wako busy.

Umesema jioni mkiongea hana maneno?? Mmmh toa uongo wewe si mwongeaji kama mm? Kwanini unashindwa kuanzisha topic hata kukumbushia mambo ambayo mlishaongea awali?

Hivi unawezaje kukosa maneno? Wewe ndo wa kumbadilisha huyo mwanaume.

Inamaana hamjawai kucheka siku mlivyotoka hakuna muliyayaona huko?

Je hakuna kitu unachokipenda kwake? Mfano rejea maneno anayopenda kuyaongea mtanie msifie kitu unachompendea

jinsi unavyo muuliza lazima maongezi yanoge.kama anakunywa mara nyingi wakilewa wana maneno yao ya kuchekesha ongelea hata hayo.

Am proud of my man akiishakunywa akaanza "in vino veritas" najua sasa stori zimenoga.

Wewe ndo chanzo be creative gal.

Ushauri basi mshauri huyo mwanaume ajiunge jf akikutana na misamiati ya jf mara misambwanda mubashara na comment za watu mtaanzia hata hapo .

Ayu zeya???
 
Mependa hapo "am proud of my man"

Mara nyingi wanawake ndo waanzisha story so ukimchokoza man wako kwa chatting za hapa na pale ye mwenyewe tu ataanza kutiririka...

Mpaka nimemmiss yule msukuma. Hebu nikamchokoze
 
habar zenu wakuu
Ni jumapili nyingine tulivu nikiwa nimejilaza ghafla nimeshtuka naanza kumuwazia kijana mmoja ambaye alinitokea kama mwaka mmoja na nusu uliopita ni mfanyakazi katka wizara moja nyeti jirani na ofisini kwetu

kipindi nakutana nae alikuwa na matatizo na mke wake akaniaproch nikamwambia nina mtu.basi tukawa kama marafiki mawasiliano yakaendelea japo haikuwa kivile mara chache akinieleza matatizo na mkewe na bla bla me nikawa namshauri asiachane na mkewe avumilie yatapita.

mwishoni mwa dec.mwaka jana akanitext wametalikiana. nikamwambia its fine ni maisha yenu. ikaishia hapo.

Nikiwa katika wakati huu ambao nimeachana na mwanaume wangu km two weeks ago nilikutana nae sehemu hatukuwa tumepanga tukasalimiana na stor mbili tatu akaniomba tuonane tuongee
( of course nilikuwa bored siku hiyo tukatoka ilikuwa jioni) tukakaa sehem tukaongeaaa the guy anadai ananipenda sana anataka tuwe wote nikamwambia nitamjibu.

Ukweli ni kwamba yuko so lovely,mtanashati educated yani ni mwanaume ambaye kila mwanamke akimuona atatamani kuwa nae mo than my x lakini kitu kimoja tu tukiwasilia
na kwenye simu hana maneno mengi, yan ni salam asubuhi, jioni na usiku mwema

(sijui ndivyo alivyo au ni kutokana na mazingra ya kaz yake au ni nini)Ila tukionana ataongea yote the way ananifil na nini na nini anafunguka.

sijampa jibu lakini nawaza sana huu ukimya wake ntawezana nae, nini kilisababisha waachane na mke ndani ya ndoa ya miezi 6?

kukaa more that 10hrs bila kuwasiliana na mtu nayempenda nitaweza?
Ama nakurupuka?

Matusi Hayatanijenga
kama unao ushauri nisaidie nipo njia panda natamani niwe na mtu kuwa alon kunaumiza sana,

better mkae pamoja mjaze ulimwengu,naamini mpk hapo ushajua ni mtu wa aina gani kutokana na preference yako kwa mwanaume.take him muongeze idadi ya watz
 
Watu wa hivi kazi sana kumwelewa sasa hvi yupo sawa au kavurugwa dah
Hapana siyo kazi hata kidogo... Ni vile sipendi kumkwaza mtu kwa kumfuata fuata na simu au sms kila muda.. Mambo ya upo wapi? Unafanya nini? Upo na nani? Kila muda siwezagi...

Cc: Kasinde
 
Usikurupuke kuwa nae kwa sababu tu uko lonely, upe moyo wako muda wa kuchanganua yupi ni yupi. Hayo unayoyawaza tayari ni changamoto, ongea nae kama ndivyo alivyo au ni ubusy tu
 
wanaume sisi ni waongo hasa tukitaka kitu,

toa hiyo kitu uone utakavo rukwa
 
Hata mimi nipo hivyo... Sina kufuatana fuatana unless tukionana.. Kwenye simu nina maneno machache sana...

Cc: Kasinde
Mimi mwenyewe sipendagi eti unipigie simu tuongee masaa mawili, huko ni kupotezeana muda mnaongea nini muda wote huo, afu unakuta hata hamsikilizani vzr, labda sababu ya speaker ya simu, mimi girl wng huwa analalamika sana ila nw ashanielewa, ila tukionana stori nyingi tu, lakini mambo ya simu huwa mzito sana
 
Mependa hapo "am proud of my man"

Mara nyingi wanawake ndo waanzisha story so ukimchokoza man wako kwa chatting za hapa na pale ye mwenyewe tu ataanza kutiririka...

Mpaka nimemmiss yule msukuma. Hebu nikamchokoze
ahaaa bira shaka ni USA baby??
 
Back
Top Bottom