Msaada wenu tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wenu tafadhali

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Daniel Anderson, Jan 21, 2012.

 1. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu natanguliza heshima mbele. Nimefika kwenu leo niwaombe msaada wenu katika mambo haya.
  1. Nimefanikiwa kuandaa notes za kitabu cha Economics kwa advanced level chenye topics nne lakini zilizoandikwa kwa kina zenye mifano dhahiri katika mazingira yetu ili kuwafanya wanafunzi waelewe moja kwa moja bila kuhitaji kukariri. Topics hizo ni Environmental economics, Privatization, Unemployment and Employment na Markets.
  Katika hili nimekwama mtaji wa kupatia cheti cha ithibati toka wizara, kuchapa na kusambaza. Topics hizi nimezichagua kwa kuwa zina uhitaji mkubwa sasa kutokana na mabadiliko ya silabas na ukosefu wa other materials to support learners. Biashara katika hili inatarajiwa kuwa nzuri na yenye returns nzuri

  2. Nahitaji kufungua kampuni ya upashanaji habari zenye mrengo fulani ambayo itategemea zaid biashara ya mtandao (si kama ya GNLD au Foreva living products) kuiendesha.
  Tafadhari naomba msaada wa kupata fund ya kuzalisha kitabu hiki, na niko wazi kwa mazungumzo na yeyote atakayekuwa interested na biashara hii ambayo ki ukweli ina returns nzuri sana.

  Naomba kuwasilisha wakuu.
   
 2. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hongera sana kwa initiative yako Mkuu. Keep it up. Ingekuwa busara kama ungeweka hapa jamvini hicho cheti cha ithibati kinagharimu kiasi gani na hiyo fund unayoitaka ni kiasi gani, Hii itarahisisha kupata venture capitalist au huo mkopo.
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  na aseme hiyo returns nzuri sana ipoje.
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Hongera mkuu ila jitahidi vitabu vyako visiwe na makosa makosa kama vya ambilikile.
   
Loading...