Metsada
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 1,456
- 867
Google Maps ni software ambayo inakuwezesha kufika eneo au kulitambua eneo kwa kutumia simu yako - inakuonesha umbali na aina ya usafiri unaoweza kutumia. Pia Uki ZOOM itakuonesha jengo au nyumba lakini hutumika vizuri zaidi kwenye miji iliyopimwa vizuri na kupewa namba za mitaa kama kule Ulaya na kwingineko.Hivi nikitaka eneo flani liweze kuonekana kweny google map nafanyaje? Mfano nyumba au mtaa then mtu akisearch kwenye google map anaiona hyo nyumba au mtaa. Msaada wenu wadau