Msaada website au email za nje za wanawake

prickle

JF-Expert Member
Feb 1, 2017
292
425
Natumaini nyote ni wazima wa afya kama hapo awali kichwa kinavyojieleza

Kusema ukweli wanawake wa bongo wamenishosha sasa naona bora nijaribu zari la mentali nje ya nchi nahisi uko naweza kupata waliotulia...

Sijawahi kukutana na mwanamke aliyetulia wote chenga kwanza wanapenda pesa na waongo unakuta mwanamke mmoja vidume saba. Sasa mi iyo kitu sitaki nataka cha peke yangu kama kuna yoyote anayejua websites au email za madenti wa nje hasa waarabu na u.s.a mpaka nimekuja huku mjue nimechoka
 
Pole sana mkuu ila fikiria mara mbili sababu unaweza jikuta unaruka pakavu halafu ukakanyaga maji.
 
Back
Top Bottom