Msaada, webmaking

Msaada, webmaking

Unataka kununua hiyo kampuni au kufanya kazi? Kama unataka kutengenezewa sema ili wadau wachangamkie hiyo fursa.
 
Habari wadau, naomba kuuliza je kwa hapa tanzania kampun gan watalaam wa kutengeneza website/blog. Asanteni.
Karibu Mkuu kwa hitaji lako la website tunatoa webu hosting, webu design
Kwa shiling 200,000 unapata domain registration, web design, web hosting
Hizi ni baadhi a kazi zetu
 
Achana na kampuni za kibongo hakuna watengeneza website hapa wote wote wanatumia layouts ambazo zimeshatengenezwa na watu

wachek hawa jamaa

Free Website Builder | Create a Free Website | WIX.com
Hehehe Mkuu sasa ndo umeandika nini? Nilidhani unatupia kitu chenye lakin kumbe unatuletea wix ya waisarael huku ukiponda za wengine??? Hutaki kodi ilipwe tz kwa serikali ya Magu ila unataka ilipwe kwa bwana Nyetanyau. Any way sis kazin hatutumii CMS wala templates ni dray codes huku tukiipendezesha interface kwa bootstrap.
 
mkuu nimeingia hio site yako ya enviromine umetumia slider za wowslider na themes umedownload zypowebtemplates hujatengeneza kama ulivyoclaim, hakuna neno mtu akitumia CMS au kudownload themes ila wewe nahisi kama unatudanganya.

nimecheki sourcecode za hio site
BeKPguK.png
 
Mkuu chief mkwawa seems.unaelewa vizuri nisaidie kupata best ones ambao they can make best website na sample ya kazi zao walizofanya
 
Mkuu sisi sio tu kukutengenezea website, pia tunauwezo wa kukupa Server yakwako na ukafanya biashara ya hosting, bei ni 350,000 /= ikiwa ni Ada ya miaka 3+free ordering system, kama upo interested tupigie Kwa number 0687535650
 
mkuu nimeingia hio site yako ya enviromine umetumia slider za wowslider na themes umedownload zypowebtemplates hujatengeneza kama ulivyoclaim, hakuna neno mtu akitumia CMS au kudownload themes ila wewe nahisi kama unatudanganya.

nimecheki sourcecode za hio site
BeKPguK.png
Naona mtembea kwa miguu alikua anataka kutuletea uswahili kwenye kazi!!! Wabongo bwana!!
 
mkuu nimeingia hio site yako ya enviromine umetumia slider za wowslider na themes umedownload zypowebtemplates hujatengeneza kama ulivyoclaim, hakuna neno mtu akitumia CMS au kudownload themes ila wewe nahisi kama unatudanganya.

nimecheki sourcecode za hio site
BeKPguK.png
Mi nimeona hichi client ni dead link
 
Back
Top Bottom