Dumelang
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 3,194
- 5,598
nahitaji msaada kwa wanaojua (technicians) nahitaji kuanzisha Website!
ila sio ya e commerce lakini, ya watu wa profession yangu kujiunga na kudiscus inshu zetu, pia wanafunzi wa profesion, pia iwe inaweza kuwa opened kwenye simu, yani kwa ufupi kama forum, post topic, reply and chat (sasa hapa sijui tofauti ya forum na web au ni vitu sawa) kama nitakuwa nimekosea mtanisaidia.
sasa swali ni hili je itanigharimu sh. ngapi kutengeneza (kuianzisha, kusajili na kuwa complete ili kuanza kutumika.
nanitumie procedure zipi? (ushauri wa kina unahitajika)