ah huyo wabongoo mzushi tu ajua sana njia gani watu wa xtgem twatumia kuongeza watu kuna kama kupeleka kwenye wap directory mtop.me, besttop.mobi....etc kuna free advertising zenye link exchange kama adshub.net na adsalvo
pia watakiwa ucreate facebook na twiter page ulink na wapsite yako ili watu waweze kushare kwenye wall zao
njia ya mwisho ambayo ni strong watakiwa uongeze content za wapsite yako ili mtu akija mara moja awe na hamu ya kuja tena
mimi average napata visitor 200-900 per day kwenye ka wapsite kangu kanipatia visent hemedans.xtgem.com