Wanataka nyege zake awe anawapelekea wakina nani au mzee we ni bodaboda nini maana wazazi wengi hawapendi watoto wao waolewe na madereva bodaboda.Hao wazazi walitaka uwatumie wao hizo meseji?
Sasa unawaza nini wakati wanataka kukuletea Chakula mkuu?, badala ya kupoteza muda kuchat wameona wakuletee kabisa hiyo mboga uwe unajitafunia kwa raha zako.Jamani una bahati wewe jamaa!,dah!, Natamani km ningekuwa ndo mimi.
Mkuu pole kwa mkasa,lakini huhitaji kuwaza maana binti si mwanafunzi na kama sikosei yuko above 18,sasa hofu iko wapi?,hakuna sheria inayozuia mtu kufanya mapenzi hapa nchini kwetu ikiwa wahusika si wanafunzi na wana miaka kuanzia 18.
So muhimu wakija wasikilize,wakikuwakia waambie wakupele wanakojua kuwa watasaidiwa.
Relax na unywe maji moyo uelee.