Msaada: Wazazi wa binti wanakuja kwangu baada ya kuona msg za mapenzi kati yangu na binti yao

Mgumu sana kuelewa wewe dogo.. Yani mpenzi wake kaona sms zako unazomtumia. Hivyo kuwa makini... Sms zilionekana akiwa kwa "mjomba" wakati akijichanganya kuwa yupo nyumbani kwao kwa wazazi.. Pole sana mkuu.
 
Kuna wanawake wa kufanyia mazoezi kbl ya kuingia kwenye ndoa. Hawa hakika huwezi kumfanya kuwa mke. Hata ukipewa bure, lazima ugome km unalishwa sumu
Sasa unawaza nini wakati wanataka kukuletea Chakula mkuu?, badala ya kupoteza muda kuchat wameona wakuletee kabisa hiyo mboga uwe unajitafunia kwa raha zako.Jamani una bahati wewe jamaa!,dah!, Natamani km ningekuwa ndo mimi.
 
Mkuu pole kwa mkasa,lakini huhitaji kuwaza maana binti si mwanafunzi na kama sikosei yuko above 18,sasa hofu iko wapi?,hakuna sheria inayozuia mtu kufanya mapenzi hapa nchini kwetu ikiwa wahusika si wanafunzi na wana miaka kuanzia 18.

So muhimu wakija wasikilize,wakikuwakia waambie wakupele wanakojua kuwa watasaidiwa.

Relax na unywe maji moyo uelee.
 
Asante mkuu

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom