msaada watu wa web develop na web design pia watu wa kawaida

Srebrina

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2012
Posts
963
Reaction score
437
habarini wapendwa katika kupractise vitu ninavyo visoma kuhusu web design nikajaribu kutengeneza forum inayohusiana na mambo ya technology kwa kutumia wapka (wapsite builder) na kufanikiwa kutengeneza kitu kama hiki PROFESSIONAL TECHNOLOGY. sasa naomba ushauri wenu kuwa level niliyo nayo ni ipi na nipige practical sana sehemu gani?
 
Sio mbaya hapo inabidi uwe mbunifu wa mtindo unaoupenda au watu watakaoupenda nenda ka customize Global settings for forum ndo itapendeza pia go to autocontent uset header na footer za hzo forum zako any help zaidi im here
 
asante sana kwa kunipa moyo mkuu lakini hapo kwenye Global settings for forum kidogo bado sijakuelewa ni costomize nini maana kuna vitu vingi na vingine nikiviweka naona kama havileti sura ninayoitaka naomba ushauri juu ya ilo huenda ukawa na CSS nzuri au HEAD tags nzuri ambayo itafanya izo costomize zikae vizuri pia hapo kwenye autocontent uset header na footer za forum nilikuwa naomba unisaidie idea kidogo niwekaje
 
jifunze pia cms kama worldpress au drupal namna ya kutengeneza themes zako mwenyewe badala ya kutumia customized layouts. In desegning it feels great to create something of your own.
 
hizo azinipi shida sana maana nina certificate wa web design na ninafahamu language kama HTML,CSS,PHP japo hii sio sana,JAVASCRIPT na Active Server Pages (ASP). lakini mi bado nafanya majaribio kwa hivyo vitu nilivyo visoma kwaiyo wakati mwingine huwa natembelea mitandao ambayo inaniwezesha kujipima kiwango changu kama WAPKA, XTGEM, WEN.RU maana mimi sina uwezo wa kuhost web yangu ndio maana naenda polepole polepole ukizingatia sikuizi tanzania nayo inaendelea kwenye maswala ya web hacking hivyo najipanga kwa hilo kwanza
 
Ni mapema sana kukoment kwenye hiyo kazi uliyo weka ila nataka nikupe ushauri,kwanza ondoa hiyo idea ya kuwa na certificate in whatever unaweza ukawa huna chochote dunia ya sasa watu wanaangalie"result" can you provide the result needed?Kuna watu wana vyeti vizuri ila hawagongi vitu(The law of use and disuse)
Kama nimeona unasema unajifunza web design lakini hiyo link unaongelea kitu kama "forum".Ushauri wangu Forum zinafanya kazi tofauti na web sites na zinahitaji database na vitu vingine.
Tembelea forum unazozifahamu angalia features zake jifunze jinsi ya kuweka feature moja baada ya nyingine then fanya kiproject kidogo cha kifrorum walau user waweze kupost,unregistered user wasiweze kuposit wasome tu,wewe uwe na uwezo wa kuedit /kufuta post.Taratibu utafanikiwa,ushauri utakufaa ukiupata kutoka kwa mtu ambaye alishafanya hicho kitu, kwa mfano hatushauri "mwanandoa aombe ushauri wa mambo ya ndoa kutoka kwa bachelor" hata akipewa ushauri huo utakuwa theory based.Kuna resources nyingi online zinafundisha kutengeneza forum step by step do your homework utazipata ziko poa.Good start kuna mengi unahitaji kujifunza ili forum iwe vizuri kama kulink post to a topic,kulink post na mtu aliyeitengeneza hapo database inabidi uiweke vizuri,displaying forum overview,adding authentication and user levels.
Ni hayo tu.Good start pull up your socks.
 
ahsante kwa ushauri wako ndio maana nikaomba ushauri maana nimesoma tu ila kupractise ndio naanza polepole
 
Ok,jitahidi utafanikiwa nimeku PM link ya kujifunza kudesign Forum from scratch,ila PHP/Msql uwe fiti.
 
habarini wapendwa katika kupractise vitu ninavyo visoma kuhusu web design nikajaribu kutengeneza forum inayohusiana na mambo ya technology kwa kutumia wapka (wapsite builder) na kufanikiwa kutengeneza kitu kama hiki PROFESSIONAL TECHNOLOGY. sasa naomba ushauri wenu kuwa level niliyo nayo ni ipi na nipige practical sana sehemu gani?
Kama walivyosema wengine hapo juu, ni vigumu hata kuanza kutoa ushauri wapi uanzie maake ile page kusema ule ukweli bado sana. Kama ni mtoto kutambaa basi yule bado yupo tumboni. Homework: Jaribu kutumia online resources, zitakusaidia sana. Kwa mfano miye sioni hata pa kuanzaia Header, footer, Headlines, page imejaa screen nzima; vitu vyote hivi ni basic kwa web designer. Kazana utafika ila safari bado ndefu sana. Mwisho umeomba ushauri kuhusu level uliyopo usikasirike katika scale ya 1 - 5 labda upo 1.
 
kwa upande wangu kwa kuanzia naomba ubadili rangi zinaumiza macho
 
Ok,jitahidi utafanikiwa nimeku PM link ya kujifunza kudesign Forum from scratch,ila PHP/Msql uwe fiti.

ahsante Aqua ngoja nianze darasa nikikwama nitakuona
 
Last edited by a moderator:
Kwanini usianze na blog badala ya forum?, unaanza kuwa na email, kisha blog, then website na mwisho forum.
 
Discussion forums is not for beginners.
Actually I had a working forum that was pain to finish with all expertise I have in my hand.
So, get something else.
A blog or hotel management or something like that!
 
ok kaka nimekuelewa
 
Kwanza jifunze web designing, don't skip this step maana the way that "thing" you have created looks like is terrible, then ukishaweza kudesign (html+css+javascript) fanya mazoezi then design your own website ukiweza hiyo mimi nitakuhostia bure. Then jifunze programming (php, ruby etc)
 
Back
Top Bottom