UI/UX Designing, Website/App Designing and Development.

DERRO G

New Member
Jul 26, 2022
3
3
Kutengeneza mobile au web application haitofautiani sana na ukandarasi wa majengo, kwamba kabla Engineer hajanyanyua mjengo ni lazima awe na design au ramani ya jengo, kutoka kwa Architect.
Ndivyo ilivyo kwa application development, UI/UX Designers ndio wanaotengeneza muonekanao wa hiyo app kabla ya kutengenezwa na kuipa muonekano halisi ndipo programmer aanze kufanya mambo yake sasa. Kwa hapa Tanzania ni watu wachache sana ndio tunaujuzi huo, maana kazi nyingi tunazofanya ni za kutoka njee ya Tz, bado wabongo wanachukulia vitu poa sana. Ngoja nionyeshe sample zangu kwanza. Pia unaweza nicheki 0657257607 kwa msaada zaidiView attachment 2864259View attachment 2864258View attachment 2864260View attachment 2864261
20240105_200312.jpg
 
Wewe kwanza hapo naona shida kadhaa, hizo red margin ni za nn hapo kwenye hizo picha za donut na popcorn, pia hapo ingetisha zaidi ikiwa hizo picha zingekua rounded edges.
Af bongo wengi unao waona wanatengeneza hizo App wengi wao ni full-stak, so muda wa kubembelezana na UI hua hawana.
 
Brother kufanya UI/UX designing sio kupoteza muda!!
Ni creativity ambayo unakuta hata madeveloper wengi hawana, ndio maana bongo application au website nyingi ni za kawaida sana, na ukifwatilia unakuta nyingi zinafanana. Kwasababu inakuta developer anafanya kwa mazoea. Ngoja nikionyeshe kazi zangu zingine aisee
6d6ad6ad456e253b62591fedd887d736.jpg
 
Brother kufanya UI/UX designing sio kupoteza muda!!
Ni creativity ambayo unakuta hata madeveloper wengi hawana, ndio maana bongo application au website nyingi ni za kawaida sana, na ukifwatilia unakuta nyingi zinafanana. Kwasababu inakuta developer anafanya kwa mazoea. Ngoja nikionyeshe kazi zangu zingine aiseeView attachment 2864682
Kazi nzuri.
 
Dah we jamaaa uko vizuri sana nimepend hii kazi unafanya Architect ya UI/UX kwa application na Website ya Bidhaa kama hiyo kwa bei gani
 
Acha kudanganya watu wazima na mapicha yako ya ku download online

Kazi Nzuri Ila UI Sio Kitu Cha Kujitapa Kikubwa Ni Logic Ya Web Au App Yako,watumiaji Wengi Hupenda Simple UI,Mbali Na Hvo,Hivo Vitu Vimekuwa Ni Copy And Paste Siku Hizi.
 
Dah we jamaaa uko vizuri sana nimepend hii kazi unafanya Architect ya UI/UX kwa application na Website ya Bidhaa kama hiyo kwa bei gani
Nakutengenezea UI design ya App, Website, Software as service (SaaS) kwa being yoyote ukihitaji kuona kazi nilizowaifanya naweza kukutumia Portifolio.
 
Back
Top Bottom