msaada watu wa web develop na web design pia watu wa kawaida

msaada watu wa web develop na web design pia watu wa kawaida

Kwanza jifunze web designing, don't skip this step maana the way that "thing" you have created looks like is terrible, then ukishaweza kudesign (html+css+javascript) fanya mazoezi then design your own website ukiweza hiyo mimi nitakuhostia bure. Then jifunze programming (php, ruby etc)

Asante bro lakini html, css, na javascript pia php nazifahamu lakini tatizo langu ilikuwa ni hosting lakini nashukuru kama utanisaidia
 
kama unaweza html+css+javascript then why does that site look so terrible? kama kuzifahamu unamaanisha kuwa u are aware of their existence then bado haufahamu, unatakiwa uwe comfortable kudesign a good looking web page mwenyewe ndio useme unafahamu okay?
 
Back
Top Bottom