wanajf naomba msaada jinsi gani nitawapata marafiki zangu wanaotumia huduma hii ya watsapp maana nimehangaika mwenyewe bila mafanikio.natumia tecno p3 na) nayo huduma hii
Kupata marafiki ni pale tu unapokuwa na
namba zao za simu kwenye kitabu cha simu
yako. Sasa ukiwa WhatsApp na ukitafuta majina
unawaona marafiki zako wanaotumia.
Asante,kinachonishangaza mimi nina majina zaidi ya 300 na watsapp ktk simu inafanya kazi lakini mbona hao watumiaji siwaoni.ninapoingia ktk app. Hii ninakutana na neno hili'tell your friends about watsapp'zinakuja option nyingi mfano niwambie in watsapp,sms,twiter,fb nk. Nifanyeje hapo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.