PistolGang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 392
- 44
Habari za saa hizi?
Naomba msaada kwa TV hii aina ni BAUHN model: ATV-19HED2 toleo la muAustralia.
Hii TV ina mwaka sasa tangu niinunue na kuanza kuitumia.
Tatizo ililonalo kwa sasa, power inaingia (red light) ila hairespond kuwa ON (blue light) iwe kwa kuswitch power ya remote au kwenye tv. Au kuna saa inakubali kuwa ON (blue light) ila screen still remain blank. Unaweza subiri hata masaa zaidi ya sita lakini wapi.
Mwezi mmoja uliopita ilikua inachelewa kuwaka hadi baada ya nusu saa hivi ndio inakubali ila siku hizi ndio imegoma kabisa.
Mwenye ufahamu kipi kifanyike hapa jamani.