Wataalamu wa TV za chogo msaada tafadhali

zakayohabeli

Member
Aug 14, 2019
58
24
Kuna tv hapa aina ya hitach chogo yaani ilikua inagoma kuwaka sasa nimepambananayo sicruit ikawa imewaka an ila sasa kuleta mwanga kwe kioo ilikua sjafanikiwa an nikiiwasha ilikua inatoa Moshi kwwnye crt sasa nikajarib kuichomoa crt nikaisafisha nikawa nakazia kazia japokua hapakua na luzi yoyote ila tatuzo likawa Bado liko palepale an nikiiwasha inatoa Moshi kwenye crt nikiangalia kilichoungua sikioni sasa.

Skukata tamaa nikaichomoa Tena crt nikaisafisha Tena an wakat wa kurudishia sasa ground ilioshika kioo nikasahau kuirudishia wakat huo nimeshaichoneka crt sasa nimeiwasha tv nikiwa nimesahau kuchomeka ground ya srceen inayoenda kwenye crt nikasikia taaaaaa. Kama kitu nimeungua an nikazima haraka nikarudishia ile ground kuja kuwasha Tena an inawaka stand by tu an hata FBT haitem wakuu msaada tafadhal.

Sent from my TECNO SA1 using JamiiForums mobile app
 
Umeshaua damper
Kama una utaalam wa kuweza kucheki. Chomoa hiyo circuit then chomoa damper icheki kama iko nzima.
Ukifanikiwa kuicheki damper na ukiikuta bado nzima kagua Capacitor kama hakuna iliyofumuka, then iwashe ikikataa, badili IC ndogo ya mbele (memory IC) inaanzia na namba 24Cxx (inaweza kuwa 24C04).
 
Asante Sanaa mkuu ngoja nijaribu faster

Sent from my TECNO SA1 using JamiiForums mobile app
 
Kitu napenda chogo haihitaji stand

Ukitaka hata wewe unaweza kukaa juu yake bila stress

jamaa anadai mpaka linatoa moshi kama gari ya Diesel
kuna chogo Home ilinunuliwa mwaka 2000 hadi leo ipo,ilipelekwa kwa fundi mara moja tu kwa tatizo la speaker ila mpaka sasa inafanya kazi vizuri japo ipo kabatini
 
Kuna tv hapa aina ya hitach chogo yaani ilikua inagoma kuwaka sasa nimepambananayo sicruit ikawa imewaka an ila sasa kuleta mwanga kwe kioo ilikua sjafanikiwa an nikiiwasha ilikua inatoa Moshi kwwnye crt sasa nikajarib kuichomoa crt nikaisafisha nikawa nakazia kazia japokua hapakua na luzi yoyote ila tatuzo likawa Bado liko palepale an nikiiwasha inatoa Moshi kwenye crt nikiangalia kilichoungua sikioni sasa.

Skukata tamaa nikaichomoa Tena crt nikaisafisha Tena an wakat wa kurudishia sasa ground ilioshika kioo nikasahau kuirudishia wakat huo nimeshaichoneka crt sasa nimeiwasha tv nikiwa nimesahau kuchomeka ground ya srceen inayoenda kwenye crt nikasikia taaaaaa. Kama kitu nimeungua an nikazima haraka nikarudishia ile ground kuja kuwasha Tena an inawaka stand by tu an hata FBT haitem wakuu msaada tafadhal.

Sent from my TECNO SA1 using JamiiForums mobile app
Jibu moja tu kioo huenda ikawa umeiunguza kwa huo uzembe wako. Pili ilipokuwa inatoa moshi Crt ilikuwa jnakosea Graund na Volt ndio maana ikawa inatoa moshi
 
Umeshaua damper
Kama una utaalam wa kuweza kucheki. Chomoa hiyo circuit then chomoa damper icheki kama iko nzima.
Ukifanikiwa kuicheki damper na ukiikuta bado nzima kagua Capacitor kama hakuna iliyofumuka, then iwashe ikikataa, badili IC ndogo ya mbele (memory IC) inaanzia na namba 24Cxx (inaweza kuwa 24C04).
Kwa ujumla Hapo kuna mambo mengi mkuu hata virticle inaweza sababisha na C2383 au C1518 Na pia optocoupler n.k n.k ila kama hajaunguza kioo maaana kwa maelezo yake sidhani kama kioo itakuwa hai
 
Lakini kama inakaa st-by basi opto-coupler haina tatizo. Kiufupi aitoe circuit pembeni aangalie hizo kasoro na hata wakati wa kuijaribu atumie tube nyingine, then kwenye crt aangalie kama inatumia tansistor au IC. kama zipo hai maana alishasema ilikuwa inatoa moshi.
 
Kwa ujumla Hapo kuna mambo mengi mkuu hata virticle inaweza sababisha na C2383 au C1518 Na pia optocoupler n.k n.k ila kama hajaunguza kioo maaana kwa maelezo yake sidhani kama kioo itakuwa hai
Saiv nachotaka an fbt iteme tu ikisha tema ndio ntajua kioo kimekufa au laa maana circuit ninayo pembeni huku an nimechomoa waya zote ninebakisha wa standby na button tu
 
Angalia volt 110 kama ziko sawa volt 5 na Transistar za kuswitch au Verticle
 
Back
Top Bottom