msaada wataalamu wa computer

MTUSUAJI

Senior Member
Nov 13, 2011
152
146
Heri ya mwaka mpya, naomva mnisaidie nikiwasha laptop yangu nkaitumia bila kuunganisha internet haisumbui but nikiunganisha internet inakaa kama dakika mbili inaanza kutoa mwanga wa bluu kijani pinki na nyeupe.imeanza juzi msaada wataalamu
 

HMS

JF-Expert Member
Oct 23, 2013
318
161
Habari. Pole sana kwa tatizo. Naomba unipe details zaidi ili niweze kua na mwanga zaidi wa fumbuzi,

1. Je hiyo internet unatumia cable, wireless au moderm?
2. Ikileta hiyo blue color na color zingine inaleta error yeyote na kama inaleta naomba uniambie inasemaje.
3. Je hili tatizo lilipoanza kuna software yeyote ulio install siku mbili tatu nyuma, zitaje km zipo.
4. Unatumia OS ipi, kama ni windows xp au 7.
5. Nitumie jina la antivirus yako unayotumia kama ipo na ya mwaka gani na update ya lini, kama hauna pia nifahamishe nijue.
6. Je hapo kipindi cha nyuma ulikua waweza kutumia internet bila shida au hujawahi kutumia internet kbsa na ulipoanza tumia na kuleta tatizo hilo.
7. Tupia last time kuweka OS hiyo ni lini.
8. Kama ni Moderm ndio unayotumia je ushajaribu kutumia wireless au cable, lengo ni kujua tatizo ni drivers au moderm au port au system os, ndo maana nauliza yote haya kwasababu inaweza kua virus japo kwa kiwango kikubwa tatizo yaweza kua ni hardware.

Naomba unifahamishe hayo nione wapi pa kuanzia. ASANTE
 

MTUSUAJI

Senior Member
Nov 13, 2011
152
146
1.natumia moderm na wakati mwingine wireles
2.Haileti error yoyote inaendelea kunadili tu hizo rangi hadi nizime nakuwasha tena
3.Siku instal software yoyote niliiacha kwa mwenzangu akachukua baadhi ya document but kasema hakufanya kingine
4.natumia wondow 7
5 kaspersky internet security ya mwaka 2013 ni me update 33 days ago
6 nilikua natumia bila shida kabisa
7 SIKUMBUKI last time kuweka os
8natumia moderm na wakati mwingine wireles iinafanya kazi kama dakika tatu kisha inaanza toa hizo rangi
NASHUKURU sana mkuu nafikiri mejitahidi jibu nasubiiri sikia toka kwako
 

mimitungi

JF-Expert Member
May 14, 2013
737
260
1.OS itakuwa na shida. Repair the OS or Fresh install.
2.Computer itakuwa na virus, kaspersky not up todate.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom