Sheriff Hood
Member
- May 3, 2018
- 82
- 124
Wakuu mimi nataka kuanza kupiga picha kwa level ya chini, yaani mpiga picha wa kawaida tu na nina budget ya Tshs 800,000 sasa naomba kujua mambo mbalimbali kuhusu camera na kupiga picha.
1. Kwa budget hiyo nitahitaji camera ya aina gani?
2. Kuna hizi picha zinazotamba sasa hivi mitandaoni za autofocus, je kwa budget hiyo nitahitaji camera ya aina gani na lens ya ukubwa gani? Yaani camera + lens = 800,000
3. Pia hivyo vyote naweza kuvinunua wapi
Sehemu ya uhakika?
Mimi nipo Dodoma
Natanguliza shukrani zangu