msaada wataalam wa lugha

I think it means your face is so ugly mpaka it seems like u experiencing pains, and when i look at you na- imagine unaumia kwa jinsi your face is ugly as in na makunyanzi and all.
 
jamani nna t-shirt imeandikwa... DOES YOUR FACE HURT?
CUZ IT'S KILLING ME.
Maana yake I kwamba sura Yako ni mbaya saaana tu kiasi kwamba anayekuangalia anaukuliza Kama sura Yako inakuuma?na ubaya wasura Yako unamchefua sana anayekutazama!ushauri tu Naona usivae hiyo nguo Kama wewe ni mstaarabu.
 
PSM na m.kessy mimi ninafikiri tofauti. Hiyo ni lugha ya maumbo na yawezekana ni love affair.

DOES YOUR FACE HURT?

CUZ IT'S KILLING ME.

Mi nahisi hizi ni lugha za utongozaji, labda tusiende kwenye direct translation.

NITAHADHARISHE IKIWA SIRUHUSIWI KUKUTAZAMA (kwa muda mrefu, stare)

SABABU SITAMANI KUACHA KUKUANGALIA.

Ni haya mambo yetu ya kumuuliza mtu "nyumbani hamna mbwa lakini?" Wote twajua hapa anayezungumziwa si mbwa.

Au mtu asemapo your face puts my hip pocket in doubt
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom