M mamaur Member Joined Feb 16, 2013 Posts 75 Reaction score 42 Oct 14, 2020 #1 Natumaini wote wazima na kwa wale wa dar poleni na mafuriko. Nilikuwa naomba kufahamishwa wapi wanapima Corona maana natarajia kusafiri nje ya nchi. Pili je kipimo cha Corona bado ni kile kile cha kuchokonoana pua?
Natumaini wote wazima na kwa wale wa dar poleni na mafuriko. Nilikuwa naomba kufahamishwa wapi wanapima Corona maana natarajia kusafiri nje ya nchi. Pili je kipimo cha Corona bado ni kile kile cha kuchokonoana pua?
MasterP. JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 8,159 Reaction score 6,574 Oct 14, 2020 #2 Aga Khan hospital.
M mamaur Member Joined Feb 16, 2013 Posts 75 Reaction score 42 Oct 14, 2020 Thread starter #3 MasterP. said: Aga Khan hospital. Click to expand... Bado style ni ile ile ya kuchokonoa pua mzee au kuna njia mbadala ya kupima
MasterP. said: Aga Khan hospital. Click to expand... Bado style ni ile ile ya kuchokonoa pua mzee au kuna njia mbadala ya kupima
K Karibu Sana JF-Expert Member Joined Mar 14, 2020 Posts 991 Reaction score 1,774 Oct 14, 2020 #4 Nenda ofisi yeyote ya chadema huduma hii inapatikana kwa gharama ya elfu mbili tu