Mie ninacho MVOMELO ni heka moja bei ni mil2,kingine kiko VUNJO bei ni mil2.7,kingine kipo HEDALU kina jaruba moja la mpunga bei 1.5,kingine kipo Mwanakweleke znz bei ni laki 7.5.
Aya sema umepapenda wapi?
Ha ha ha ha ha!Mvomelo? ndo wapi huko>?? mkoa gani huo?
mimi nataka cha vunjo. ila vunjo kubwa kuwa muwazi-vunjo sehemu gani?Ha ha ha ha ha!
Hujui mvomelo weye!
Ok ni morogoro,aya sema sasa,umepapenda eeeeh!
Siku nyingine unapoleta request humu ndani jitahidi kuwa muwazi,usiwe unafichaficha mambo kama dr Slaa bhana!
nahitaji kiwanja DAr es salaam... Na kama kuna uwezakano kiwe karibu na mjini....
mimi nataka cha vunjo. ila vunjo kubwa kuwa muwazi-vunjo sehemu gani?
Mzee acha uswahili watu tuko serious. Huyo Lyatonga namsikia tu na huko kiraracha kwao wala sijafika. Hebu fafanua vizuri ninahitaji hicho cha vunjo.Kiko wapi, kimepimwa au shamba na ukubwa wake vipi?Ni pale karibu na kwa mh mbunge Lyatonga Mrema,pembeni yake sasa kama unaelekea kwenye duka la mangi,maeneo wanayopikaga mtori pale!
Unataka kwa ajiri ya nini kwani?au kwa ajiri ya noah?Mzee acha uswahili watu tuko serious. Huyo Lyatonga namsikia tu na huko kiraracha kwao wala sijafika. Hebu fafanua vizuri ninahitaji hicho cha vunjo.Kiko wapi, kimepimwa au shamba na ukubwa wake vipi?