Bajeti ya milioni 5.6 nitapata wapi kiwanja hapa Dar?

Juzi tu Fazza alikuwa na kiwanja alikiwa ananishahuri aniuzie kwa mil6 ameshakiuza

Unapata kwa pesa hiyo mkuu pesa nzuri tu hiyo Na kiwanja kikubwa inatosha na eneo zuri pia pambana kutafuta zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom