Msaada wapi nitapata hii kitu Dar.

Haka katekinolojia hapa kwetu sijui kama kameshafika, ila ukiwa mjanja sna tembelea watalamu wa welding wakuunganishie mabati na wewe utafte chesisi la Peugeot ndio uingie nacho mtaani na bidhaa zako.
 
unakautaalamu ka engineering braza.
 
Brother augustleo na ww unawazo Kama hilo nini?
 
kuna watu wanajiita autoguru waone wakutengenezeewako kinondoni ni garage ya magari na wanafanya welding
 
Mkuu mm pia naitaka wazo langu ni kununua Suzuki Carry then kutengenezea hiyo box IQRA90
 
Attachments

  • images (3).jpg
    6.9 KB · Views: 51
Nenda udsm pale engineering upande wa workshops,hasa workshop ya mechanical kuna vizee vizoefu vitadesign na kukujengea...price itakua cheap tu
 
Mm sijaona hapa dar labda kama uende wakatengeneze
 
Nenda udsm pale engineering upande wa workshops,hasa workshop ya mechanical kuna vizee vizoefu vitadesign na kukujengea...price itakua cheap tu
Ha ha ha watu wamepigwa kule acha, bongo hii usanii mwingi no one is faithful kuna mada humu ya jamaa kupigwa mashine kule COET
 
Nashukuru mkuu kwa kutambua kazi zetu, hakika Autoguru tutawatengenezea.
Hahaha itabidi mnipe ile kazi ya marketing mliotangaza wenye whatsap groups maana nimewatangaza bure
 
jaribu kuwasiliana na huyu mkuu kama kaweza kuikopi hii ya Azam hiyo kwake jambo dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…