dareda
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 222
- 494
Wadau habari,
Naombeni msaada maelekezo nna idea yangu ya kuandaa maonyesho flani (exhibition) sasa watu wangu wa karibu niliowashirikisha waliniambia kwa nature ya wazo langu wabakaji wa mawazo wanaweza kulibaka wazo hili na kulimiliki hivyo n vema nikalisajili ili niwe na haki miliki nalo.
Sasa ni wapi na kwa namna gani naweza kulisajili wazo hili..?? Je kuna gharama...?? Ni kiasi gani......???
Wajuzi wa mambo haya msaada wenu tafadhalini.....