Damidizzo,sidhani kama jinu hili linaonyesha uungwana wako wa JF.
Muulizaji kauliza kiuungwana sana,na ameweka Yemen kuonyesha kwamba ndio inapokuwa processed.
Kwani hata hizi sim tunazouziana humu au magari,kwanini nini mtu hasemi nenda Japan au China kanunue.Nikwasababu maduka yapo hapa nchini.
Melta mada aliweka hivyo ili iwe rahisi kwa anaejiua amfahamishe,muda mwingine tuwe wastaarabu,inawezekana kabisa na mwenzako labda anatafuta kama Asali hiyo maalum kama Tiba,au hata kwa matumizi ya Kawadia.
Ni sawa na Tende,kwani tende inalimwa hapa?lakini ipo maduka kibao ktuoka Saudia,lakini unaweza kukuta mtu anakuambia nahitaji ile Tende maalum nyeusi tii,sasa kwa anaejua atamueleza maduka zilipo,maana ni Tende maalum na bei yake sio ya Kitoto na pia ni tiba moja mujarab sana.
Tuwe waungwana baadhi ya muda,hata kama unataka kuchekesha watu,basi chekesha pale ambapo mleta mada ameishasaidiwa,na post nyingi watu wamekuwa wakifanya hivyo,baada ya mtoa post kupata msaada then watu wanaanza kufanya comedy ili kufurahisha post,lakini not at the beginning of the post kwa namna hii.Na ufaham kwamba mleta mada anajua kabisa kwamba JF hakuna kinachoshindikana katika ufaham wa watu,sasa first approach ya post ikiwa mbaya inamkatisha mtu tamaa.