Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,081
- 2,606
Atletico anamalizia mikeka iliyobaki 😢😢😢Sportybet bado mikeka inapumua
Sio mikeka ya kubeti mkuuAtletico anamalizia mikeka iliyobaki 😢😢😢Sportybet bado mikeka inapumua
Shukran mkuu nilikuwa naulizia hii ya kukalia.Kama mikeka ya kukalia nenda Dodoma wilaya ya Bahi. Kama ni ya kubeti nenda kwa Sativa.
Ukipata mtu aliyepo Bahi anaweza kukupa ABCShukran mkuu nilikuwa naulizia hii ya kukalia.
Mcheki huyu mzee atakupa abc +255 710 365 610 amewahi kudeal na biashara hiyo miaka ya nyuma.Shukran mkuu nilikuwa naulizia hii ya kukalia.
Shukran sana kiongozi.Mcheki huyu mzee atakupa abc +255 710 365 610 amewahi kudeal na biadhara hiyo miaka ya nyuma.
PamojaShukran sana kiongozi.
Salaam wakuu.
Katika harakati za kujikwamua kimaisha na eneo nililopo naona hii biashara itanilipa.
Sasa nilikuwa nahitaji inakopatikana ile mikeka iliyoandikwa ZARI au ile ya milia. Ikiwa ni kiwandani au kwa Mchina itakuwa zaidi mana nahitaji kuuza jumla nipo Mtwara.
Natanguliza shukran.