Hongera sana mkubwa kwa hili
Unahitaji pete ya aina gani dhahabu,feza?gram ngapi?
Kito cha aina gani? Tanzanite,lulu au almasi ambayo tumeyazowea
Kumbuka pete ni bei rahisi kuliko kito
Kito ndio thamani ya pete
Kwa mpunga ulioutaja hapo juu hasa wa mwisho naoma wifi anaweza akavaa kito cha tanzanite.

wanajamvi naombeni msaada
ninatamani kujua wapi ninaweza kupata engagement ring nzuri hapa dar au arusha. Sifahamu sana bei ya haya mambo lakini nimejiaandaa na kati ya 500,000/= mpaka 1,000,000/=. Kama bado zipo nzuri za bei ya juu kidogo reference still zinaruhusiwa. Some adjustments can be made.
Blessings, with thanks
msaada gfsonwin, mandenyi, @kb 52, liverpoolfc, arushaone, eiyer, ashadii, ummu kulthum, lara 1, mzee mtambuzi, nivea, bujibuji, golden girl, kaizer, allen nk. Plz na wengine wengi humu jamvini naombeni msaada!
kuna sonara mmoja pale magomeni,maeneo ya ofisi za tanesko,ana bei poa sana kwani mi ndo alinitengenezea engagement ring ya wife na hata pete ya ndoa,ana bei poa sana na ni muelewa sana.atakupa ushauri kulingana na dizain unayotaka pia akizingatia umbo lako,nini ambacho kinapendeka kwa sasa etc.namba yake ni 0713329261
Wanajamvi naombeni msaada
Ninatamani kujua wapi ninaweza kupata engagement ring nzuri hapa Dar au Arusha. Sifahamu sana bei ya haya mambo lakini nimejiaandaa na kati ya 500,000/= mpaka 1,000,000/=. Kama bado zipo nzuri za bei ya juu kidogo reference still zinaruhusiwa. Some adjustments can be made.
Blessings, with thanks
Msaada gfsonwin, mandenyi, @kb 52, LiverpoolFC, Arushaone, Eiyer, AshaDii, ummu kulthum, lara 1, Mzee Mtambuzi, Nivea, Bujibuji, golden girl, Kaizer, allen nk. Plz na wengine wengi humu jamvini naombeni msaada!
njoo mtaa wa India DSM
Mkuu umenena pia mtaa wa Kitumbini
nadhani hapo maduka tele
N:B Uwe makini sana uzuri wa pete usipigwe
kwa maana ya kuambiwa dhahabu kumbe sio
Kwa pesa aliyoitaje mdau ni wazi
atapata pete nzuri kulingana na mahitaji yake.
Hiyo m1 iko mahala pakeHapo ndipo nahitaji msaada maana hata hizo gramu sizielewi vyema. Pete ni ya dhahabu. Kito cha Tanzanite au Diamond kipi kizuri
!
Wanajamvi naombeni msaada
Ninatamani kujua wapi ninaweza kupata engagement ring nzuri hapa Dar au Arusha. Sifahamu sana bei ya haya mambo lakini nimejiaandaa na kati ya 500,000/= mpaka 1,000,000/=. Kama bado zipo nzuri za bei ya juu kidogo reference still zinaruhusiwa. Some adjustments can be made.
Blessings, with thanks
Msaada gfsonwin, mandenyi, @kb 52, LiverpoolFC, Arushaone, Eiyer, AshaDii, ummu kulthum, lara 1, Mzee Mtambuzi, Nivea, Bujibuji, golden girl, Kaizer, allen nk. Plz na wengine wengi humu jamvini naombeni msaada!
Hiyo m1 iko mahala pake
Tanzanite ndio habari ya mujini
Gram kuanzia 2 na kuendelea
Gram 1 inakuwa nyembamba sana na haina mvuto
Bei ya sasa siifahamu watanisaidia wadau.
Angalizo:
Nenda kwa sonara na mtu anayefahamu dhahabu halisi wengi wao sio waamifu kanyabonya.
Asante kwa kuniona kama nafaa kukuambia. Nakushauri uende kwenye maduka ya sonara utapata pete kulingana na hela yako. Uwe makini bongo matapeli ni wengi. All the best mwaya.