Wanajamii,
juzi kati nlikua nafanya 'transaction' flani hivi za dola,
Sasa kwakua dola zilikua ni nyingi na nlikua na haraka sikuweza kuzikagua miaka zaidi ya kwamba nilicheki tu kama sio feki.
Sasa kumbe wajanja ''wamenipiga'' kwa kuchomeka noti 2x$100 za mwaka 2003 ambazo hazitumiki.
Sasa kuna popote ambapo naweza kubadili hizi noti?
Au nizigeuze tu mapambo?
Mkuu upo wapi? Kama upo dar nenda pale samora na azikiwe jengo la IPS kuna maduka ya kubadilishia fedha za kigeni, au nenda mtaa wa swahili Kariakoo Bazar, wananunua lakini kwa bei ya chini
Dah, ahsanteni sana wakuu, niko Dar, kijitonyama.
Karibia kila wiki napitaga pale posta kubadili but sijawahi kujua kama wanakubali za mwaka huo,
Ngoja niwahi fasta wasije wakafunga,
M'barikiwe sana.
Dah, ahsanteni sana wakuu, niko Dar, kijitonyama.
Karibia kila wiki napitaga pale posta kubadili but sijawahi kujua kama wanakubali za mwaka huo,
Ngoja niwahi fasta wasije wakafunga,
M'barikiwe sana.