Sidhani kama kuna mtu ana deal na hizi issue mpya, ila utapata tu cover ya Laptop nyengine mbovu ambayo Wametoa spea, so ubora wake utategemea na hio laptop ilikuwaje kabla haijatolewa spea.
Machinga complex floor za computer zimejaa nyingi.
Naomba uni check kama bado haujafanikiwa mkuu....,na deal na COMPUTER za zina zote kutengeneza na kuuza, vile vile kununua spare za Computer used za maofisini
Call 0682202114
Nipo ilala karume
Karibuni sana...,